Pingamizi la Mwanasheria Mkuu (AG) dhidi ya ombi la kibali cha kufungua kesi ya kupinga vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mkoani Dodoma limetupiliwa mbali katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
Pingamizi hilo lilikuwa la kupinga ombi lililowasilishwa na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) waliofungua kesi ya kikatiba wakiomba mahakama itoe zuio la kuendelea kwa
↧