Miradi 72 ya maendeleo ya Sh bil. 23 inatarajiwa kuzinduliwa na Mwenge wa Uhuru, utakaokimbizwa kwa siku nane mkoani Mwanza, ambao utapokelewa leo kutoka mkoa wa Simiyu.
Hayo yalielezwa jana na Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Evarist Ndikilo wakati akitoa taarifa ya mwenge huo, iliyosomwa kwa niaba yake na Mratibu wa Mbio za mwenge mkoani hapa, Diana Rwechungura.
Alisema thamani hiyo
↧