MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa,
Freeman Mbowe amewateua Dk. Willbrod Slaa kuwa Katibu Mkuu, John Mnyika
kuwa Naibu Katibu Mkuu Bara na Salum Mwalim ambaye anakuwa Naibu Katibu
Mkuu Zanzibar.
Viongozi hao wameteuliwa jana usiku na kupitishwa na
Baraza Kuu la Chadema hivyo kufikia tamati ya uchaguzi wa ndani ya chama
hicho.
Mhe. John Mnyika
↧