Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini
Kabula’ amewaacha watu midomo wazi baada ya kutinga kivazi kilichomuacha
wazi mwili wake.
Jini Kabula alitinga kivazi hicho kwenye
bethidei ya mtoto wa mwigizaji mwenzake, Riyama Ally ambayo
aliiunganisha na ya kwake na kufanya bonge la sherehe katika Ukumbi wa
Chamuruma uliopo Mabibo jijini Dar, ambapo mwanadada huyo
↧