Video Inatisha: Magaidi wa ISIS Wamchinja na kumkata Kichwa Mateka Mwingine...
Taarifa zilizopatikana hivi punde zinaeleza kwamba kikundi cha kigaidi cha Dola ya Kiislamu (ISIS) kimemchinja kwa kumkata kichwa, David Haines, Mwingereza mfanyakazi wa shirika la misaada, kwa mujibu...
View ArticleBig Brother Africa kuzinduliwa Tarehe 5 Mwezi juao
Shindano la Big Brother Hotshots litazinduliwa October 5, makampuni ya M-Net na Endemol SA yamesema. Makampuni hayo yamedai kuwa nyumba mpya ya Big Brother imepatikana jijini Johannesburg, Afrika...
View ArticleKipenga Kimepulizwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Disemba...
KIPENGA cha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kinatarajiwa kupulizwa Novemba 30 mwaka huu na uchaguzi kufanyika Desemba 14 chini ya sheria zilizopo. Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala...
View ArticleWaathirika mabomu ya Mbagala walia fidia finyu
ZAIDI ya waathirika 1,000 milipuko ya mabomu Mbagala, wameomba Serikali kuingilia kati na kuwasaidia, ili wapate fidia inayostahili kutokana na mali na vitu vyao vilivyoharibiwa wakati wa mlipuko huo...
View ArticleMajanga: Miley Cyrus apost picha akiwa anaoga mtupu bafuni
Wiki hii tuliandika habari kuhusu matumizi mabaya ya Instagram yaliyotajwa kuwa juu zaidi kwa watumiaji wa Tanzania. Lakini vitendo vinavyofanywa na baadhi ya mastaa huko Ughaibuni havikubaliki...
View ArticleInaumiza Na Kukatisha Tamaa Tunapoandikwa Kwa Habari Za Uongo Kwenye Magazeti...
Muigizaji maarufu wa filamu Tanzania 'Johari' Blandina Chagula amsema kuwa kuandikwa vibaya na uzushi kwa mambo yanayodhalilisha ndiyo mambo yanayokwaza na kukatisha tamaa katika uigizaji.Akizungumza...
View ArticleNatafuta Dancers Wa Kike Kwa Muda Mrefu Ila Bado Kupata Wenye Viwango Vya...
Licha ya kuonekana na madansa wa kike katika jukwaa la Fiesta 2014 Mwanza, Diamond anasema hajabahatika kumpata dansa wa kike mwenye vigezo anavyovitaka. “Sina madansa wa kike pale wawili ni wa...
View ArticleShilole Amfanyia MAHABA NIUE Nuh Mziwanda...Mcheki akiwa ndani ya Bikini,...
Kupitia Account yake ya Instagram, Shilole amezitupia hizi picha akiwa na Jamaa yake( Nuh Mziwanda) huku mashabiki wake zaidi ya laki moja wakiambulia kusuuza macho kwenye...
View ArticleHuddah Monroe Azindua Vazi lake jipya Akiwa Uchi wa Mnyama!
Msanii maarufu wa Kenya, Huddah Monroe amezindua vazi lake jipya kwa staili ya kipekee na ya aina yake..... Katika uzinduzi huo, mrembo huyo ameamua kujianika hadharani akiwa...
View ArticleHamisa Mobeto Asaula Nguo mbele ya Mashabiki
Hamisa Mobeto fronted up to her instagram fans when she posted a photo while topless in a hot rhinestone silver shining bra and a matching tight skirt.. to which she captioned "Flash Back"......
View ArticleWanawake Acheni Vigenge Vya Umbeya Na Kuwa Magolikipa Kwa Wanaume: Happy...
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Happy Nyatawe ambaye pia ni mfanyabiashara amewaasa wanawake wenzake kuacha kuwa magolikipa kwa wanaume na pia kuacha umbeya na badala yake wajikite katika kazi ili...
View ArticleSerengeti Fiesta 2014 Yafunika Ndani ya Geita
Mkali kutoka pande za Mwanza, Young Killer akichana mistari stejini.Ommy Dimpoz akiimba kwa pamoja na mrembo kutoka pande za Geita nyimbo ya ME & YOU. Niki wa Pili akiwakilisha Crew ya Weusi....
View ArticleUchaguzi mkuu CHADEMA Waanza ......Hizi ni picha toka ukumbi wa Mlimani City...
Meza Kuu ya viongozi wa Chadema kabla ya mkutano kuanza. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akiwapungia mkono wajumbe wa mkutano mkuu. Viongozi wa Chadema wakati wakiwasili katika uchaguzi...
View ArticleFreeman Mbowe Ashinda tena Nafasi ya Uenyekiti CHADEMA
Freeman Mbowe ameshinda tena nafasi ya Uenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa baada ya kupata jumla ya kura 789 huku mpinzani wake Ngambaranyela Mongatero akipata kura 20....
View ArticleKikongwe Auawa kwa Kuchomwa kisu Tumboni na kutolewa Utumbo huko Kahama,...
Mkazi wa Kijiji cha Ilogi, wilayani Kahama, Ester Bundala (80), ameuawa kikatili kwa kuchomwa kisu tumboni na kutolewa utumbo baada ya watu waliojifanya wagonjwa kwenda nyumbani kwake kuomba msaada wa...
View ArticleBaba Afungia Ndani Watoto 4 miezi 10.....Walishwa mlo mmoja kama wafungwa,...
Mwanaume mmoja mkazi wa Kijiji cha Msimba wilayani Uvinza, Kigoma, anashikiliwa na Polisi akidaiwa kufungia watoto wake wanne ndani ya nyumba na kuwashindisha njaa kwa takribani miezi 10. Ofisi ya...
View ArticleFreeman Mbowe atangaza Maandamano na Migomo isiyoisha Nchi Nzima
Na Salome Kitomary-Nipashe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametangaza maandamano na migomo isiyokoma nchi nzima kushinikiza kuvunjwa Bunge Maalumu la...
View ArticleAskari wa JWTZ Wakwaa tuhuma Nzito.....Wawafanyia ukatili mkubwa Vijana 11...
Katika hali isiyo ya kawaida, askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wanadaiwa kuwafanyia ukatili mkubwa vijana 11, wakazi wa eneo la Keko Magulumbasi B, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kwa...
View ArticlePicha: Uzinduzi wa Video Mbili za Profesa Jay Ulivyokonga Nyoyo za Mashabiki
Nguli wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule a.k.a Professa J jana aliweza kufanya vyema katika uzinduzi wa video zake mbili, 'Kipi Sijakisikia' na 'Tatu Chafu' uliofanyika jijini Dar es Salaam....
View ArticleVideo Mpya: Hizi ndo Video mbili Zilizozinduliwa na Profesa Jay Jana.....Tatu...
Joseph Haule a.k.a Professor Jay ameachia video zake mbili kwa mpigo,’Tatu Chafu’ aliyofanya na director Hefemi pamoja na Kipi Sijasikia iliyoongozwa na Adam Juma. 1.Tatu Chafu 2. Kipi Sijasikia
View Article