Kupitia Account yake ya Instagram, Shilole amezitupia hizi picha akiwa na Jamaa yake( Nuh Mziwanda) huku mashabiki wake zaidi ya laki moja wakiambulia kusuuza macho kwenye mapaja ya binti huyu wa kinyamwezi....
Hata hivyo, kitendo hicho kilionekana kuwakera baadhi ya followers wake ambao uvumilivu uliwashinda nakuanza kumpa makavu:
"Kuna.ck
↧