ZAIDI ya waathirika 1,000 milipuko ya mabomu Mbagala, wameomba Serikali kuingilia kati na kuwasaidia, ili wapate fidia inayostahili kutokana na mali na vitu vyao vilivyoharibiwa wakati wa mlipuko huo Aprili 2009.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana mbele ya baadhi ya waathirika hao, Katibu wa Kamati ya Waathirika hao, Thomas Mbasha, alisema baada ya ajali hiyo,
↧