Wiki hii tuliandika habari kuhusu matumizi mabaya ya Instagram yaliyotajwa kuwa juu zaidi kwa watumiaji wa Tanzania.
Lakini vitendo vinavyofanywa na baadhi ya mastaa huko Ughaibuni
havikubaliki zaidi na sio mfano wa kuigwa kabisa kwa wapenda maadili.
Mwimbaji mwenye ‘vitimbwi’ vingi, Miley Cyrus amepost kwenye
Instagram picha inayomuonesha akiwa anaoga bafuni huku ameficha sehemu
↧