Shindano la Big Brother Hotshots litazinduliwa October 5, makampuni ya M-Net na Endemol SA yamesema.
Makampuni hayo yamedai kuwa nyumba mpya ya Big Brother imepatikana
jijini Johannesburg, Afrika Kusini baada ya kile walichodai moto
kuunguza jumba la kwanza September 2.
“M-Net and Endemol SA are pleased to announce that Big Brother
Hotshots will officially launch on Sunday, 5
↧