Taarifa zilizopatikana hivi punde zinaeleza kwamba kikundi cha kigaidi
cha Dola ya Kiislamu (ISIS) kimemchinja kwa kumkata kichwa, David
Haines, Mwingereza mfanyakazi wa shirika la misaada, kwa mujibu wa video
iliyosambazwa na kikundi hicho.
Video ya mauaji hayo ya kinyama inaanza kwa kuonyesha hotuba ya Waziri
Mkuu wa Uingereza David Cameron kuhusu Iraki, ikifuatiwa na ujumbe kwa
↧