Pichani
kati ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiwa na
madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee
kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini
Shinyanga.
Mmoja
wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,atambulikae kwa jina la
kisanii Ommy Dimpo akiwaimbisha mashabiki huku akisherehekea siku yake
ya kuzaliwa na wakazi wa
↧