Kwenye rekodi za Mwaka huu na hii ya huyu Mungu anaeonekana Kenya imo.
Kituo cha TV cha K24 kiliripoti juu ya uwepo wa Mungu nchini Kenya ambae ibada zinafanyika nyumbani huku yeye mwenyewe akisema "Mimi ni Mungu, nimekuja kuvunja mambo yote yaliyoandikwa" Zaidi mtazame...
View ArticleSababu za kufukuzwa kazi Rais wa shirikisho la muziki Tanzania.
Hii ni moja ya habari kubwa za Magazeti ya leo Tanzania ambapo gazeti la Uhuru limeandika kwamba Rais wa shirikisho la muziki Tanzania Addo Novemba amefutwa kazi baada ya kuhusika na upotevu wa pesa...
View ArticleHii ni kwa wale Wanafunzi waliotaka kujiunga na Vyuo Vikuu Tanzania.......
Kwa ufupi tu ni kwamba Tume ya vyuo vikuu TCU imetangaza kwamba Wanafunzi wapatao elfu 12 wanaotaka kujiunga na elimu ya vyuo vikuu Tanzania wamekosa nafasi za kujiunga na vyuo hivyo kwa sababu ya...
View ArticleKesi ya Trafiki FEKI Yaendelea kupigwa kalenda
Kesi ya aliyejifanya askari polisi wa usalama barabarani, James Hassan (45) imeendelea kupigwa kalenda kutokana na mshitakiwa kutofika mahakamani hapo licha ya kuwepo kwa mashahidi wawili. Kesi hiyo...
View ArticleHabari Njema: Mtanzania (Kay Madati) ateuliwa kuwa makamu mkuu wa rais na pia...
Mtanzania Kay Madati amechaguliwa kuwa makamu wa Rais na pia kama Chief Digital Officer katika kituo kikubwa cha Television nchini Marekani BET. Taarifa iliyoandikwa na Mtandao maarufu wa Forbes...
View ArticleWabunge Wapendekeza Wala Rushwa Wanyongwe
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wamesema wala rushwa pamoja na wahujumu uchumi adhabu yao iwe ni kunyongwa. Wametaka Katiba mpya inayoenda kuandikwa itamke hivyo ili kufanya viongozi...
View ArticleOscar Pistorius apona , jaji asema hana hatia katika kesi ya kuua kwa kukusudia
Hatimaye Jaji Thokozile Masipa ametoa maamuzi juu ya kesi iliyokuwa inamkabili mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius na kutupilia mbali madai kuwa aliua kwa kukusudia. Baada ya muda...
View ArticleCheyo Awazima UKAWA Bungeni.....Asema Rais Kikwete hawezi kuahirisha bunge la...
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia nchini (TCD), Bw. John Cheyo, amesema mchakato wa kupata Katiba Mpya, utamalizwa kwa kura za maoni ya wananchi hivyo...
View ArticleUkaguzi leseni na vyeti vya madereva waanza
JESHI la Polisi jana limeanza kufanya ukaguzi wa leseni na vyeti vya madereva kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani na nchi jirani Ubungo (UBT), jijini Dar es Salaam kufuatia ajali za barabarani...
View ArticleSerengeti Fiesta kufanyika leo Shinyanga
Baada ya kufanya maonyesho ya kuvutia katika zaidi ya mikoa sita nchini, Serengeti Fiesta inaendelea Ijumaa hii mjini Shinyanga. Onyesho la Serengeti Fiesta mjini humo lilipaswa kufanyika Septemba 6...
View ArticleMkanda wa ngono wa Iggy Azalea kuuzwa kwa kampuni ya Vivid Entertainment
Kuna mkanda wa ngono wa rapper Iggy Azalea na mpenzi wake wa zamani unauzwa kwa kampuni maarufu ya video za mambo hayo. Wanasheria wa Iggy Azalea wamedai kuwa ni kweli msichana anayeonekana kwenye...
View ArticleOscar Pistorius apatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake bila kukusudia
Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, amepatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp bila kukusudia. Akitoa uamuzi wake jaji Thokozile Masipaal alisema kuwa mwanariadha huyo...
View ArticleQueen Darleen akanusha kumtafutia mademu Diamond
Queen Darleen amekanusha tuhuma kuwa ana mtindo wa kumtafutia mademu kaka yake Diamond Platnumz. Queen amesema kwa heshima aliyonayo kwake, sio rahisi kumpa kazi hiyo. “Unajua Naseeb miye...
View ArticleTatizo ni Anaconda? Mkuu wa shule aliyosoma Nicki Minaj amkatalia kuongea na...
Nicki Minaj amekutana na kikwazo kikubwa katika mpango wake wa kuzungumza na wanafunzi wa shule aliyosoma. Mwimbaji huyo ameeleza jinsi alivyoumia baada ya mkuu wa shule hiyo kulikataa ombi lake la...
View ArticleMsikiti mkubwa wa Mtambani Kinondoni Waungua Tena
Msikiti wa Mtambani uliopo Kinondoni jijini Dar es Saam uliungua kwa mara ya pili leo. Msikiti huo uliungua kwa mara ya kwanza mnamo Agosti 13, 2014 katika ghorofa yake ya juu na kuteketeza...
View ArticleDereva atakaye kamatwa akiendesha gari huku akiongea na simu Atafutiwa Leseni...
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kwa kushirikiana na Mamlaka ya usafiri wa Nchi kavu na Majini SUMATRA limeanzisha mkakati wa kuwafungia leseni madereva watakaobanika kuendesha magari...
View ArticleSteve Nyerere ajiuzulu Urais Bongo Movies
Muigizaji wa filamu za Kiswahili, Steve Nyerere aliyekuwa Rais wa Klabu ya Bongo Movie Unity ameamua kujiuzulu nafasi hiyo. Steve ameeleza uamuzi wake kupitia Instagram bila kutoa sababu...
View ArticleWolper Atumika kwenye Utapeli wa Mamilioni
Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe ‘Jack Wolper’ amejikuta akitumika kwenye utapeli wa mamilioni ya shilingi kupitia mitandao ya kijamii bila yeye kujua. Akizungumzia sakata zima huku...
View ArticleFamilia ya Reeva imesemaje baada ya maamuzi ya Jaji kwenye kesi ya mauaji ya...
September 12 2014 Mahakama ya Pretoria nchini Afrika Kusini ilimpata Oscar Pistorius na hatia ya kumuua mpenzi wake bila kukusudia kwenye siku ya Wapendanao February 14 2013. Baada ya maamuzi hayo...
View ArticleTamasha la Serengeti Fiesta 2014 Lafunika Shinyanga.....Leo kusambaza upendo...
Pichani kati ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiwa na madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage...
View Article