Msikiti wa Mtambani uliopo Kinondoni jijini Dar es Saam uliungua kwa mara ya pili leo. Msikiti huo uliungua kwa mara ya kwanza mnamo Agosti 13, 2014 katika ghorofa yake ya juu na kuteketeza eneo kubwa ambalo hadi sasa bado halijanza kufanyiwa ukarabati.
Leo hii moto huo inasemekana ulianza majira ya saa sita na nusu mchana katika moja ya chumba ambacho wanafunzi wa kidato cha
↧