Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kwa kushirikiana na
Mamlaka ya usafiri wa Nchi kavu na Majini SUMATRA limeanzisha mkakati wa
kuwafungia leseni madereva watakaobanika kuendesha magari huku wakiwa
manazungumza na simu za mkononi.
zoezi hilo limekuja kufuatia kile kinachodaiwa kuwepo kwa ongezeko la
ajali za barabarani ambazo zinasababishwa na uzembe ambao unasababishwa
na
↧