Muigizaji wa filamu za Kiswahili, Steve Nyerere aliyekuwa Rais wa Klabu ya Bongo Movie Unity ameamua kujiuzulu nafasi hiyo.
Steve ameeleza uamuzi wake kupitia Instagram bila kutoa sababu zilizopelekea kujiuzulu kwake.
“Napenda kuwashkulu ndugu zangu wote wasaniii wenzangu kaka zangu
mama zangu rafiki zangu mimi pamoja na family yangu nimeamua kujiuzuru
uongozi wa bongo move nabaki kuwa
↧