Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe ‘Jack
Wolper’ amejikuta akitumika kwenye utapeli wa mamilioni ya shilingi
kupitia mitandao ya kijamii bila yeye kujua.
Akizungumzia
sakata zima huku alibubujikwa na machozi, Wolper alisema:
“Siku moja
nilikutana na dereva teksi mmoja aitwaye Ismail, baada ya kupiga stori
nilimpa namba yangu ya simu na yeye akanipa yake, tukaagana.
↧