September 12 2014 Mahakama ya Pretoria nchini Afrika Kusini ilimpata
Oscar Pistorius na hatia ya kumuua mpenzi wake bila kukusudia kwenye
siku ya Wapendanao February 14 2013.
Baada ya maamuzi hayo kutangazwa, familia ya binti aliyeuwawa Reeva Steenkamp imekasirishwa na uamuzi wa
jaji wa kesi hiyo kwani mtoto wao alikufa kifo kibaya na ndio maana
hawajaamini kilichotokea kwamba Jaji
↧