Nicki Minaj amekutana na kikwazo kikubwa katika mpango wake wa kuzungumza na wanafunzi wa shule aliyosoma.
Mwimbaji huyo ameeleza jinsi alivyoumia baada ya mkuu wa shule hiyo
kulikataa ombi lake la kuongea na wanafunzi hao kwa nia ya kuwa-inspire
wafanikiwe kama yeye.
Huenda mkuu huyo wa chuo ameona Nicki Minaj sio mtu sahihi wa
kuwa-inspire wanafunzi wake kwa kuzingatia video
↧