Queen Darleen amekanusha tuhuma kuwa ana mtindo wa kumtafutia mademu kaka yake Diamond Platnumz.
Queen amesema kwa heshima aliyonayo kwake, sio rahisi kumpa kazi hiyo.
“Unajua Naseeb miye ananiheshimu sana hata akiwa na wenzake kama
alikuwa anaongea ujinga nikiwepo haongei kwakuwa anajua miye ni mkubwa
wake,” Amesema Queen
“Na pia naweza kukaa hata miezi mitatu
hatujaonana
↧