Jela Miaka 15 kwa kumchezea mtoto Sehemu za Siri
Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Hassan Suleiman (23) mkazi wa Kitunda, kwa kupatikana na hatia ya kumdhalilisha mtoto wa miaka mitatu kwa kumchezea sehemu zake za...
View ArticleRais Kikwete Afanya Ziara ya Kushtukiza Uwanja wa Ndege Dar kukagua utayari...
Rais Jakaya Kikwete, amefanya ziara ya kushtukiza katika maeneo kunakofanyika maandalizi ya kukinga nchi dhidi ya maambukizi ya virusi vinavyosababisha homa hatari ya ebola, ikiwemo katika Uwanja wa...
View ArticleIPTL Yamdai Zitto Kabwe Fidia ya sh. Bilioni 500
Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, wakimtaka Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe awalipe fidia...
View ArticleSuala la Uraia Pacha bado JIWE GUMU Bunge maalumu la Katiba
Uraia pacha kwa Watanzania walioko nje ya nchi jana uliendelea kutawala katika mijadala kwenye Bunge la Katiba huku wengi waliochangia wakikubaliana wasio na uraia Katiba iruhusu wapewe chini ya...
View ArticleBia ya Kibo Gold Lager ya Serengeti Breweries ltd yashinda tuzo ya medali ya...
BIA ya Kibo Gold Lager imechaguliwa kuwa mshindi wa medali ya dhahabu kwa ubora duniani inayotolewa na ‘Monde Selection’. Kibo ilipokea utambulisho huo wa kimataifa wakati wa sherehe za 53 za kila...
View ArticleMwanamke Aanguka kwenye Bodaboda, Akanyagwa na Lori na kufariki dunia papo hapo
Mwanamke anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 amekufa papo hapo baada ya kudondoka kwenye pikipiki aliyokuwa amepanda na kisha kukanyagwa na gari. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius...
View ArticleMkazi wa Ilemela jijini Mwanza Ajitundika mtini na Kujinyonga.....Wananchi...
Mwanaume mmoja mkazi wa Kiseke, Ilemela jijini Mwanza amekutwa amekufa baada ya kujinyonga kwa kamba juu ya mti huku mwili wake ukiwa umeharibika vibaya na kuvuja maji.......
View ArticleKifalu cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Chapata Ajali na Kuua...
Kutoka Lindi kuna taarifa ambayo imethibitishwa pia na kamanda Mpinga kuhusu ajali iliyotokea Mtwara ambayo imehusisha gari la Jeshi la Wananchi Tanzania(Jwtz)imeripotiwa asubuhi ya leo na shuhuda wa...
View ArticleMkutano wa UKAWA na waandishi wa habari .....Bofya hapa
Umoja wa katiba ya wananchi nchini Tanzania-UKAWA- uliolisusia Bunge maalum la katiba tokea mwezi Aprili, leo ulikuwa na mkutano na waandishi habari . Madhumuni ya mkutano huo ni kueleza msimamo wa...
View ArticleBasi la Super Feo Lagonga mti na Kupinduka huko Songea....Wawili wafariki...
Watu wawili wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa baada ya ajali mbaya iliyotokea leo katika eneo la Sanangula nje kidogo ya mji wa Songea mkoani Ruvuma ikilihusisha basi la Super Feo...
View ArticleNafasi za Kazi ya Mitindo na Uigizaji wa Filamu.....Kama ulikuwa unatafuta...
Wewe ni msichana mwenye kipaji cha mitindo lakini haujui uanzie wapi? Wewe ni msichana mwenye kipaji cha kuigiza ? Unatafuta nafasi ya kuigiza kwenye filamu ? Kama jibu ni ndio...
View ArticleDiva Afunguka tena.....Adai Zitto Kabwe ni mume wake na anatambulika...
Mtangazajiwa Kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa kupitia Radio Clouds FM ya jijini Dar, Loveness Malinzi ‘Diva’ kwa mara ya kwanza, amejilipua kuzungumzia uhusiano wake na Zitto Kabwe kwamba...
View ArticleSitta akomaa na Bunge la Katiba....Asema Bunge litakuwa limekamilisha kila...
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ‘amekomaa’ kuhakikisha Bunge Maalumu la Katiba linafanya kazi kwa kasi na kukamilisha kila kitu ifikapo tarehe yake ya mwisho, Oktoba 4, ikiwamo...
View ArticleMbowe: Atakayeruhusu CCM kushinda bila kupingwa tutamshughulikia
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kiongozi yeyote ndani ya chama hicho ambaye ataruhusu mgombea kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushinda uchaguzi bila...
View ArticleMoto wateketeza vyumba 20 vya kulala wanafunzi
Vyumba 20 vya bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari ya African Muslim, iliyoko Kata ya Kaloleni, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, vimeteketea kwa moto. Moto huo ambao ulizuka juzi saa...
View ArticleEsha Buheti Apigwa Vijembe kwa kuwa na makalio madogo.....Mwenyewe ajitetea,...
Kitendo cha kutojaaliwa makalio makubwa kwa staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti kimemsababishia anangwe na wasanii wenzake. Akiongea na mwandishi wetu, Esha alisema anafahamu na anawashangaa watu...
View ArticleAbakwa, Anyongwa kisha mwili wake Watupwa Kichakani
Mkazi wa Kijiji cha Bupu wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Forodesi Ntabegera (30) ameuawa kwa kubakwa, kisha kunyongwa na watu wasiojulikana, kisha mwili wake kutupwa kichakani. Kaimu Kamanda wa...
View ArticleDawa za kuongeza Uchungu ni hatari kwa Wajawazito
Matumizi ya dawa za kienyeji kwa ajili ya kuongeza uchungu na kujifungua mapema, imeelezwa kuchangia zaidi vifo kwa wajawazito. Mganga Mkuu wa Mkoa Kigoma, Dk Leonald Subi alisema hayo mjini Kigoma...
View ArticleMsako wa Bodaboda Zenye Namba za Njano Waanza
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imesema usajili wa pikipiki maarufu kama ‘bodaboda’ utafanywa pamoja na kukagua namba zenye rangi ya njano huku zikiwa zinafanya...
View ArticleMrema ataka Rais Kikwete aongezewe muda
MBUNGE wa Vunjo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Augustine Mrema (TLP), amesema kuna haja Rais Jakaya Kikwete aongezewe muda wa kuongoza nchi. Alisema kama Rais Kikwete ataongezewa...
View Article