Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Mkazi wa Ilemela jijini Mwanza Ajitundika mtini na Kujinyonga.....Wananchi washindwa kumtambua, Polisi waamuru mwili uzikwe

$
0
0
Mwanaume  mmoja  mkazi  wa  Kiseke, Ilemela  jijini  Mwanza  amekutwa  amekufa  baada ya  kujinyonga  kwa  kamba  juu  ya  mti  huku  mwili  wake  ukiwa  umeharibika  vibaya  na  kuvuja  maji.... Inakadiriwa  kuwa  mtu  huyo  alijinyonga  siku  tatu  zilizopita  na  chanzo  cha  kifo  hicho  bado  hakijafahamika  kutokana  na  mtu  huyo  kutoaacha  ujumbe  wowote  huku  wakazi  wa  eneo 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles