Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Nafasi za Kazi ya Mitindo na Uigizaji wa Filamu.....Kama ulikuwa unatafuta nafasi ya kuigiza kwenye filamu bila mafanikio basi hii ni nafasi yako!

$
0
0
Wewe  ni msichana  mwenye  kipaji  cha  mitindo  lakini  haujui  uanzie  wapi? Wewe  ni  msichana  mwenye  kipaji  cha  kuigiza ? Unatafuta  nafasi  ya  kuigiza   kwenye  filamu ? Kama  jibu  ni  ndio  basi  hii  ni  habari  njema  sana  kwako. Kampuni  inayo  jihusisha  na  ku- manage   wanamitindo  pamoja  na  wasanii  wenye  vipaji  mbalimbali  inatangaza  nafasi  za kazi  zifuatazo :

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles