Mtangazajiwa Kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa
kupitia Radio Clouds FM ya jijini Dar, Loveness Malinzi ‘Diva’ kwa mara
ya kwanza, amejilipua kuzungumzia uhusiano wake na Zitto Kabwe kwamba
walikuwa mke na mume.
Katika mahojiano maalum na mwanahabari wetu jijini Dar juzi, Diva
alisema anashangazwa na baadhi ya vyombo vya habari kumnyima uhuru wa kuongelea suala lake na ‘zilipendwa
↧