Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Sitta akomaa na Bunge la Katiba....Asema Bunge litakuwa limekamilisha kila kitu ifikapo Octoba 4, Atangaza mkakati wa wajumbe kupiga kura hata wakiwa nje ya nchi

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ‘amekomaa’ kuhakikisha Bunge Maalumu la Katiba linafanya kazi kwa kasi na kukamilisha kila kitu ifikapo tarehe yake ya mwisho, Oktoba 4, ikiwamo kupiga kura za kupitisha Katiba inayopendekezwa kazi ambayo amesema itafanywa hadi nje ya nchi kwa wajumbe watakaokuwa huko.    Sitta alilazimika kutoa matamko mawili kwa nyakati tofauti,

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>