Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imesema usajili wa pikipiki maarufu kama ‘bodaboda’ utafanywa pamoja na kukagua namba zenye rangi ya njano huku zikiwa zinafanya biashara, jambo ambalo ni kinyume.
Meneja Mawasiliano wa Sumatra, David Mziray alisema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na mwandishi wetu kuhusu usajili wa namba za pikipiki pamoja na zenye
↧