Taarifa Rasmi kutoka Jeshi la Magereza dhidi ya Uzushi kuwa Babu Seya na...
Hivi sasa kuna taarifa zimesambaa kupitia Ujumbe mfupi wa simu (SMS) na mitandao ya kijamii zikihusisha kuachiliwa huru kwa wafungwa wawili wanaotumikia Kifungo cha Maisha gerezani. Wafungwa hao...
View ArticleIrene Uwoya: Sipendi Wanaume Wanene au Wenye vitambi maana hawana Lolote...
Star wa filamu za kibongo, Irene Uwoya anadaiwa hana mzuka kabisa wa kutoka kimapenzi na wanaume wanene au wenye vitambi kwa madai si lolote kitandani wanaishia kuhema hema tu. Inadaiwa kuwa Uwoya...
View ArticleLulu Michael adaiwa Kuwa Na Ubabe Na Kisirani Cha Kutodumu Na Wanaume........
Star wa filamu nchini aliyejaaliwa mvuto wa kipekee, Lulu Elizabeth Michael anadaiwa kutodumu na mwanaume sababu ya kuendekeza ubabe na kutaka kum-control mwanaume anayekuwa naye. Inadaiwa Lulu...
View ArticleJK, Ukawa Wakubalina katiba mpya Ipatikane baada ya Uchaguzi mkuu...
HATIMAYE mvutano kati ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Serikali umefikia kikomo baada ya pande mbili hizo kukubaliana na Rais Jakaya Kikwete kuboresha Katiba ya mwaka 1977 na kuingia kwenye...
View ArticleMsajili wa Vyama: Pingamizi la Mbowe ni matokeo ya kunipuuza
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kuwekewa pingamizi la kutogombea nafasi hiyo kwa awamu ya tatu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis...
View ArticleZittto Kabwe Afunguka..."‘Ikishindikana urais, nitagombea ubunge Kigoma Mjini"
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe anaonekana yuko njiapanda kati ya nia yake ya kugombea urais au ubunge, lakini kwa jinsi mwenendo wa kuandika Katiba Mpya ulivyo, ni dhahiri ataendelea kugombea...
View ArticleNafasi za Mafunzo ya Utengenezaji wa Mashine za kutotoresha Vifaranga Vya Kuku
Taasisi ya RafikiElimu FOUNDATION kupitia MRADI WA ELIMU YA UJASIRIAMALI MIJINI NA VIJIJINJI inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA MASHINE ZA KUTOTOLEA VIFARANGA WA...
View ArticleMitihani ya darasa la saba kuanza kesho Jumatano
WANAFUNZI 808,111 wa Darasa la Saba kesho wanaanza mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika kwa siku mbili mfululizo. Akizungumza jana Kamishna wa Elimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View ArticleTCRA Yaonya kuhusu mitandao ya Bure
Mamlaka ya Mawasilino Tanzania(TCRA), imehadharisha juu ya matumizi ya mitandao ya bure ‘WiFi’ katika maeneo ya halaiki kufanya miamala ya fedha. Aidha Mkuu wa Kitengo cha Huduma ya Mawasiliano wa...
View ArticleHashim Juma Issa Awa Mwenyekiti Mpya baraza la Wazee CHADEMA
Safu mpya ya Baraza la Wazee Taifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imetangazwa ambayo Mwenyekiti wake ni mkazi wa Zanzibar, Hashim Juma Issa. Mkurugenzi wa Mafunzo na Uchaguzi...
View ArticleTCD Yatoa Tamko kuhusu mchakato wa katiba na Uchaguzi mkuu wa 2015
VIONGOZI Wakuu wa Vyama vya siasa vyenye Wabunge vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wamekuwa katika mashauriano ya zaidi ya mwezi mmoja tangu tarehe 2 Agosti mwaka huu huku wakishauriana...
View ArticleVideo Mpya: Togola- Dully Sykes
Angalia video mpya ya wimbo wa Dully Sykes, Togola. Imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab.
View ArticleKaburi la mmoja kati ya waliopata ajali ya basi Musoma lafukuliwa na watu...
Kaburi la mmoja kati ya watu waliopoteza maisha katika ajali mbaya iliyohusisha mabasi ya Mwanza Coach na J4 katika eneo la Sabasaba, Musoma, Mara limekutwa likiwa limefukuliwa na watu wasiojulikana...
View ArticleDiamond kufanya show ya bure Stuttgart Ujerumani kuwafidia mashabiki
Diamond Platinumz na uongozi wake wameridhia ombi la promoter wa Stuttgart, Ujerumani na msanii huyo atafanya show ya bure September 20 kwa lengo la kuwafidia mashabiki waliofanya vurugu baada ya...
View ArticleDiamond apiga mbili kwa mpigo, ashinda tuzo Australia na atajwa kuwania tuzo...
Neema inazidi kumuangia Diamond Platinumz na jana amepata habari njema baada ya kutajwa kuwania tuzo ya MTV EMAs huku akipokea tuzo kutoka nchini Australia. Diamond amewapa mashabiki wake habari...
View ArticleRipoti: Tanzania yaongoza kulalamikiwa kwa matumizi mabaya ya Instagram duniani
Mtandao wa Instagram unaohusisha uwekaji picha umeendelea kupata mashabiki wengi nchini Tanzania lakini wengi kati ya watumiaji hao wameisababisha kuwa kati ya nchi zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya...
View ArticleUamuzi mgumu: Rais hataongeza muda Bunge la Katiba.....Sitta Aitisha Vikao...
Makubaliano baina ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kutaka Bunge Maalumu lifikie ukomo Oktoba 4, mwaka huu yamezua sintofahamu mjini hapa huku uamuzi huo...
View ArticleDk. Slaa: Sina barua ya msajili inayonitaka niitishe mkutano wa Kamati Kuu...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema hajawahi kupokea barua yoyote kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, inayowataka waitishe...
View ArticleWimbo mpya na wa kwanza wa Emmanuel Mbasha toka kuanza kwa kesi yake ya kubaka
Mpaka sasa wanandoa ambao ni Waimbaji wa nyimbo za Injili Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha hawajarudiana na kuendelea kuishi pamoja toka ianze kesi ya kubaka inayomkabili Emmanuel ambae inadaiwa...
View Article