Taasisi ya
RafikiElimu FOUNDATION kupitia
MRADI WA ELIMU
YA UJASIRIAMALI MIJINI
NA VIJIJINJI inatangaza
nafasi za MAFUNZO
YA UTENGENEZAJI WA
MASHINE ZA KUTOTOLEA
VIFARANGA WA KUKU.
Mashine
zitakazo fundishwa kutengeneza
ni INCUBATOR (
MANUAL & AUTOMATIC) ZENYE UWEZO WA KUTUNZA
JOTO KWA SAA 48
PAMOJA NA KUTOTORESHA MAYAI KUANZIA
240 HADI 5000.
↧