WANAFUNZI 808,111 wa Darasa la Saba kesho wanaanza mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika kwa siku mbili mfululizo.
Akizungumza jana Kamishna wa Elimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Eustella Bharalusesa alisema idadi hiyo ni kwa wanafunzi wote wanaofanya mtihani kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza.
Miongoni mwa hao, 783,223 ni wanaofanya kwa Kiswahili na
↧