Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe anaonekana yuko
njiapanda kati ya nia yake ya kugombea urais au ubunge, lakini kwa jinsi
mwenendo wa kuandika Katiba Mpya ulivyo, ni dhahiri ataendelea kugombea
nafasi kuingia bungeni.
Hata hivyo, mbunge huyo kijana hatarudi Kigoma Kaskazini ambako ameongoza kwa vipindi viwili; atagombea jimbo la Kigoma Mjini.
Septemba 23 mwaka huu, Zitto
↧