Diamond Platinumz na uongozi wake wameridhia ombi la
promoter wa Stuttgart, Ujerumani na msanii huyo atafanya show ya bure
September 20 kwa lengo la kuwafidia mashabiki waliofanya vurugu baada ya
kutoridhishwa na utaratibu wa show yake mwezi uliopita.
Mwimbaji huyo wa MdogoMdogo ameweka wazi uamuzi wa kurudi Ujerumani kupitia Instagram.
“YES!!!! STUTTGART GERMANY!!! on this 20th of
↧