Neema inazidi kumuangia Diamond Platinumz na jana amepata
habari njema baada ya kutajwa kuwania tuzo ya MTV EMAs huku akipokea
tuzo kutoka nchini Australia.
Diamond amewapa mashabiki wake habari njema za ushindi wa tuzo ya
AAMA ya Australia kupitia tiketi ya collabo aliyopewa na Desert
Eagle, wimbo unaoitwa ‘Everyday’.
“Ningependa niwajulishe kuwa kijana wenu nimepata tunzo nyingine
↧