Kaburi la mmoja kati ya watu waliopoteza maisha katika ajali
mbaya iliyohusisha mabasi ya Mwanza Coach na J4 katika eneo la
Sabasaba, Musoma, Mara limekutwa likiwa limefukuliwa na watu
wasiojulikana jana asubuhi.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichofika katika eneo la makaburi ya
Musoma Basi, ndugu wa marehemu aliyetajwa kwa jina la Juma Sai walienda
asubuhi kuangalia kaburi ikiwa ni
↧