VIONGOZI
Wakuu wa Vyama vya siasa vyenye Wabunge vinavyounda Kituo cha
Demokrasia Tanzania (TCD) wamekuwa katika mashauriano ya zaidi ya mwezi
mmoja tangu tarehe 2 Agosti mwaka huu huku wakishauriana juu ya mwenendo
wa mchakato wa Katiba Mpya na jinsi ya kuwa na uchaguzi ulio huru na wa
haki hapo mwakani.
Akiongea
kwa niaba ya viongozi wengine wa kituo hicho, Mhe. John Cheyo
↧