Safu mpya ya Baraza la Wazee Taifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imetangazwa ambayo Mwenyekiti wake ni mkazi wa Zanzibar, Hashim Juma Issa.
Mkurugenzi wa Mafunzo na Uchaguzi wa chama hicho, Benson Kigaila, alisema nafasi ya Makamu Mwenyekiti katika baraza hilo ni Susan Lyimo na Katibu Mkuu ni Rodrick Lutembeka.
Nafasi ya Mwenyekiti wa baraza hilo la wazee,
↧