Mamlaka ya Mawasilino Tanzania(TCRA), imehadharisha juu ya matumizi ya mitandao ya bure ‘WiFi’ katika maeneo ya halaiki kufanya miamala ya fedha.
Aidha Mkuu wa Kitengo cha Huduma ya Mawasiliano wa TCRA, Isaac Mruma alisema kitengo chake kinapokea malalamiko mengi kuhusu wizi wa kwenye simu.
Alishauri watu kutopenda kutumia mitandao hiyo ya bure maeneo ya halaiki kuhamisha fedha kwa
↧