Star wa filamu nchini aliyejaaliwa mvuto wa kipekee, Lulu Elizabeth Michael anadaiwa kutodumu na mwanaume sababu ya kuendekeza ubabe na kutaka kum-control
mwanaume anayekuwa naye.
Inadaiwa Lulu hataki mchezo, mwanaume akishakuwa nae basi lazima ahakikishe hafurukuti. Taarifa zinadai kuwa
miezi ya hivi karibuni alikuwa na jamaa mmoja mdogo kimapenzi akammwaga
na baada ya muda
↧