KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.
Willibrod Slaa, amesema hajawahi kupokea barua yoyote kutoka kwa Msajili
wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, inayowataka waitishe mkutano
wa Kamati Kuu ili kufanya marekebisho ya Katiba yao.
Wakati Dk. Slaa anatoa kauli hiyo, Julai, mwaka huu, Mkurugenzi wa
Habari na Mawasiliano wa chama hicho, John Mnyika,
↧