Hivi
sasa kuna taarifa zimesambaa kupitia Ujumbe mfupi wa simu (SMS) na
mitandao ya kijamii zikihusisha kuachiliwa huru kwa wafungwa wawili
wanaotumikia Kifungo cha Maisha gerezani. Wafungwa hao wanaotajwa ni
Nguza Vicking(Maarufu kwa jina Babu Seya) na Johnson Nguza (Maarufu kwa
jina la Papii Kocha) - Katika picha ya maktaba juu.
Napenda
kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa taarifa
↧