Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 Musoma Lasitishwa kufuatia Ajali Mbaya...
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group,pichani wa tatu shoto Ruge Mutahaba akiwa sambamba na baadhi ya wasanii waliokuwa wakitarajiwa kutumbuiza leo usiku mjini Musoma kwenye tamasha...
View ArticleDr. Mwakyembe Aamuru kufungiwa kwa Mabasi Yaliyosababisha Ajali Musoma
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe ameagiza makampuni ya Mabasi ya J4 Express na Mwanza Coach yafungiwe mara moja. Akizungumza na mwandishi wa mtandao Dk Mwakayembe amesema sehemu...
View ArticleMajambazi Yavamia Kituo cha Polisi na Kuua Askari Wawili.....SMG 10, risasi...
Watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wamevamia Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Bukombe kilichopo Ushirombo, mkoani Geita na kuua askari wawili na kuiba silaha za moto. Taarifa za awali za tukio...
View ArticleAjali ya Mabasi Musoma Yamsikitisha Rais Kikwete
Rais Jakaya Kikwete ameelezea huzuni na masikitiko yake makubwa kufuatia vifo vya watu 39 vilivyotokea katika ajali ya barabarani wilayani Butiama, Mkoa wa Mara, ambako pia watu 79 wameumia, baadhi...
View ArticleTume ya Oparesheni Tokomeza Ujangili Yaanza Kazi kubaini Mateso waliyotendewa...
Tume iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kuchunguza vitendo vilivyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili nchini, imeanza rasmi kazi kwa kupokea taarifa na malalamiko mbalimbali kuhusu...
View ArticleCHADEMA Waanza Mkutano mkuu
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), jana kilianza mkutano mkuu wa chama hicho ambapo Baraza la Wazee wa chama hicho lilichagua viongozi wake. Akifungua mkutano huo, Mwenyekiti wa Baraza...
View ArticleBosi Aliyembaka Mfanyakazi wa Ndani ( Hausigeli) Afungwa Jela Miaka 30
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imemhukumu kwenda jela miaka 30 mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Mbwawa Steven Solomon (29) kwa kosa la kumbaka mfanyakazi wake wa nyumbani mwenye...
View ArticleTamasha la Serengeti Fiesta kufanyika Leo Musoma
TAMASHA la Serengeti fiesta lililokuwa lifanyike Ijumaa katika Uwanja wa Karume mjini Musoma na kuahirishwa kutokana na ajali mbaya ya gari iliyotokea mjini humo sasa linatarajiwa kufanyika Jumapili...
View ArticleMsichana Anayedai Kubakwa na Emmanuel Mbasha Atoa Ushuhuda Mahakamani
Shahidi wa kwanza katika kesi ya ubakaji inayomkabili mume wa mwimbaji wa muziki wa injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) ameieleza mahakama jinsi alivyobakwa akiwa kwenye gari na nyumbani kwao....
View ArticleBenki Kuu ya Tanzania Imetoa Toleo Jipya la Sarafu ya Sh. 500
BENKI Kuu ya Tanzania imetoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500 itakayoanza kutumika Oktoba 2014 itakayokuwa mbadala wa Noti ya shilingi 500 inayoonekana kuchakaa haraka. Hayo yamesemwa leo Jijini...
View ArticleMke Wa Mtu Atia AIBU baada ya kusaula nguo zote mbele ya Watoto wakati...
Wakati serikali ikipiga marufuku disko la mitaani maarufu kwa jina la ‘Vigodoro’ bado kuna baadhi ya mikoa inapuuza agizo hilo ambapo mwanamke mmoja ambaye mumewe anafanya kazi kwenye mgahawa uliopo...
View ArticleMbowe awekewa pingamizi CHADEMA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewekewa pingamizi la kutogombea nafasi hiyo kwa awamu ya tatu kwa madai ya kukiuka katiba ya chama hicho na maagizo ya...
View ArticleUrais CCM Wazidi Kupamba moto....Dkt. Kigwangalla naye Atangaza Nia 2015,...
WIMBI la wanachama wa CCM kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu 2015 baada ya Rais Jakaya Kikwete kumaliza muda wake wa miaka 10 kikatiba, limezidi kushika kasi...
View ArticlePicha: Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 Lasambaza Upendo wa Kutosha kwa...
Wasaniii walioshiriki tamasha la Fiesta 2014 wakiwa na mishumaa jukwaani wakisambaza upendo na kuwafariji wale wote waliopotelewa na ndugu zao,waliojeruhiwa katika ajali iliyotokea hivi karibuni...
View ArticlePinda Afunguka Rasmi Urais 2015.....Ahofu WAPAMBE Wanaotegemea Fdhila
BAADA ya jina lake kutajwa kuwa miongoni mwa watu watakaowania urais, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, amesema zipo taratibu ndani ya chama chake za kutangaza kuwania nafasi hiyo na kusema kinachoendelea...
View ArticleMsanii Wa Bongo Movie Aumbuka baada ya picha zake za Utupu kuvuja...
Msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ aliyewahi kuripotiwa kujiachia kimahaba na mwanamuziki Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ ametia aibu kubwa baada ya picha zake za utupu kuzagaa mitandaoni....
View ArticleJeshi la polisi mkoani Geita Lakamata Bunduki 7 Zilizoporwa kituo cha polisi...
Jeshi la polisi mkoani Geita, limefanikiwa kulitia mbaroni jambazi moja na kufanikisha kuzinasa bunduki sita ambazo ziliporwa na kundi la majambazi usiku wa kumkia juzi katika kituo cha polisi...
View ArticleUkatili wa Kutisha: Familia Yateketezwa kwa Moto.....Watoto watatu wafa,...
WATOTO watatu wa familia moja, wakazi wa Nyankumbu, Wilaya ya Geita, mkoani Geita, wamefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya nyumba yao kuteketezwa kwa moto uliowashwa kwa mafuta ya petroli na...
View ArticleBreaking News: Ajali nyingine mbaya ya basi yaua watu zaidi ya 10 maeneo ya...
Basi la kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es Salaam leo kuelekea Tabora limepinduka katika maeneo ya Kiegeya Gairo. Haijulikani idadi kamili ya watu waliopoteza maisha lakini ni wengi na...
View ArticleRais Kikwete Akutana na Wajumbe wa kituo cha Demokrasi Tanzania ( TCD ) mjini...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wakati alipokutana nao kwenye Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Septemba 08,2014.
View Article