Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Ajali ya Mabasi Musoma Yamsikitisha Rais Kikwete

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete ameelezea huzuni na masikitiko yake makubwa kufuatia vifo vya watu 39 vilivyotokea katika ajali ya barabarani wilayani Butiama, Mkoa wa Mara, ambako pia watu 79 wameumia, baadhi yao vibaya.   Mara baada ya kupata taarifa hiyo iliyotokea juzi asubuhi, Rais Kikwete ambaye yuko katika ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Arusha, amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>