Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Waraka wa Zitto wamponza Waitara

Sakata la waraka wa Mkakati wa Mabadiliko uliosababisha kuvuliwa vyeo ndani ya Chadema kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe limeibuka kwa sura mpya, safari hii likimkwamisha Ofisa wa Sera na...

View Article


Mnyika kumshtaki Waziri Mkuu Mizengo Pinda Mahakamani

Mbunge wa Jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam Mh. John Mnyika anakusudia kumshtaki mahakamani Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda kwa kosa la ofisi yake kushindwa kutangaza tarehe pamoja na maadalizi ya...

View Article


Shilole: Mpenzi Wangu Hunitibu Vizuri Sana Kitandani

Staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungua kinywa chake na kusema mpenzi wake wa sasa, Nuh Mziwanda ndiye anayemtibu vizuri kunako ‘sita kwa sita’ japokuwa watu wengi wamekuwa wakiudharau...

View Article

Rais Kikwete akutana na bibi yake Rais Obama wa Marekani jijini Nairobi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani, Mh. Barack Obama, Mama Sarah Obama walipokutana jana kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete...

View Article

Kijana Achomwa Moto Akidaiwa Kuiba Baiskeli Morogoro

Kijana  anayesadikiwa kuwa kibaka na ambaye hajafahamika jina lake, jana asubuhi amechomwa moto hadi kufa akidaiwa kuiba baiskeli maeneo ya Nane Nane mjini Morogoro, jirani na shule ya Sekondari ya...

View Article


Jeshi la Polisi Latoa Onyo kali kwa Wanaotumia Vibaya Mitandao

Jeshi la Polisi nchini limetoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao vibaya ikiwemo kutuma ujumbe wa matusi, uchochezi, picha za utupu sanjari na kukashifu viongozi wa Serikali, dini na watu mashuhuri....

View Article

Wakazi wa Jiji la Mwanza Wahofia Kulishwa Nyama za Mbwa

Wakazi wa Butimba, Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza  wanahofia kulishwa nyama ya mbwa kufuatia ngozi za mnyama huyo kuokotwa mara kwa mara zikiwa zimechunwa na kuondolewa  kwato.    Hivi karibuni,...

View Article

Lulu Michael Ampa Somo Mtoto wa Milioni 50 za TMT

Muigizaji  mwenye mvuto wa aina yake katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ amempa somo mshindi wa Shindano la Tanzania Move Talent ‘TMT,’ Mwanafaa Mwinzago kuwa asibweteke...

View Article


Bunge lakataa elimu ya kidato cha nne kwa wabunge

Pendekezo la Rasimu ya Katiba kuwa wabunge walau wawe na elimu ya kidato cha nne limetupiliwa mbali na wajumbe wa Bunge Maalumu, baada ya Kamati karibu zote kulikataa.    Kamati hizo zimependekeza...

View Article


Mshtakiwa wa ugaidi aonyesha alivyolawitiwa na kuingizwa miti na Polisi

MMOJA wa watuhumiwa wa ugaidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), amevunja ukimya mahakamani baada ya...

View Article

Msichana Alazimishwa Kufunga Ndoa na Mbwa

Msichana wa miaka 18, raia wa India aliyetajwa kwa jina la Mangli Munda amefunga ndoa na mbwa baada ya kulazimishwa na wazazi wake kufanya hivyo kwa imani kuwa atafukuza roho za kishetani na mikosi...

View Article

Boko Haram wazuia watu kuzika maiti

Taarifa za kutisha zimeibuka kutoka mjini Bama moja ya miji ambayo ilitekwa na wapiganaji wa kiisilamu wa Boko Haram Kaskazini Mashariki ya Nigeria   Seneta mmoja wa eneo hilo,Ahmed Zanna, aliambia...

View Article

Rapper Azma aachia wimbo unaofundisha wanaume kuwafikisha wapenzi wao...

Rapper Azma Mponda ameamua kujitolea kupitia ngoma yake kuwafunda wanaume wenzake namna ya kuwafikisha wapenzi wao katika kilele cha raha wakati wa tendo maarufu zaidi duniani, ngono. Akiongea na...

View Article


Amng'ata midomo mpenzi wake wakati wanakiss kwa kuhisi ana mchepuko wa Facebook

Huffington Post limeripoti habari kutoka Uingereza ya kusikitisha ya kijana Rhys Culley kumng’ata vibaya midomo mpenzi wake Chanttelle Ward mwenye umri wa miaka 18 wakati anamkiss baada ya kuwa na...

View Article

Big Brother Africa kuwasafirisha washiriki na maproducer popote pale nyumba...

M-Net na Endemol South Africa wamesema wanatafuta nyumba nyingine yenye kamera popote pale duniani, baada ya ile iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya kipindi cha Big Brother Afrika 2014 kuripotiwa...

View Article


Al- Qaeda Yatoa Tangazo Jipya

kiongozi wa kundi la kigaidi la Al- Qaeda, Ayman Al-Zawahiri ametoa tangazo kuwa kundi hilo limefungua tawi jipya nchini India.    Kwa kujibu wa BBC, katika tangazo hilo lilitolewa kupitia kipande cha...

View Article

Meneja Barclays adaiwa kuwasiliana na majambazi kupanga wizi

MENEJA wa Benki ya Barclays Tawi la Kinondoni, Alune Kasilika, amedaiwa kuwa aliwasiliana na watuhumiwa wa tukio la ujambazi katika benki hiyo wakiandaa utekelezaji wake.   Hayo yalidaiwa jana katika...

View Article


Mahakama ya Kadhi yazikwa Rasmi

SUALA la Mahakama ya Kadhi ambalo lilizua mjadala mkali kwenye Kamati za Bunge la Bunge Maalumu la Katiba na kuundiwa kamati ndogo iliyoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hasan,...

View Article

Ajali ya Mabasi Yaua Watu 36 na kujeruhi 76 mjini Musoma

Basi la Kampuni ya J4 EXPRESS lenye nambari za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Kilari Mkoani Mara likiwa limeumia vibaya sana baada ya kugongana uso kwa uso na Basi lingine la...

View Article

Mganga Mkuu wa Mara Azungumzia Ajali Mbaya iliyotokea leo Musoma

Mganga  Mkuu  wa  Mara  Azungumzia  Ajali  Mbaya  iliyotokea  leo  Musoma

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>