Msichana wa miaka 18, raia wa India aliyetajwa kwa jina la Mangli
Munda amefunga ndoa na mbwa baada ya kulazimishwa na wazazi wake kufanya
hivyo kwa imani kuwa atafukuza roho za kishetani na mikosi inayomsonga.
Mbwa huyo alitafutwa na baba mzazi wa mrembo huyo na kufanyika
sherehe kubwa ikiwa na vitendo vyote vinavyofanywa na ya bibi harusi na
bwana harusi kwa taratibu zao za ndoa.
↧