MMOJA wa watuhumiwa wa ugaidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa
Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) Zanzibar, Sheikh
Farid Hadi Ahmed (43), amevunja ukimya mahakamani baada ya kuonyesha
suruali ilivyolowa kwenye makalio akisema ni madhara ya kulawitiwa na
kuingizwa miti na polisi.
Mshtakiwa huyo, Salum Ally Salum, aliamua kufanya hivyo juzi ili
kuithibitishia
↧