Pendekezo la Rasimu ya Katiba kuwa wabunge walau wawe na elimu
ya kidato cha nne limetupiliwa mbali na wajumbe wa Bunge Maalumu, baada
ya Kamati karibu zote kulikataa.
Kamati hizo zimependekeza kigezo cha elimu kuanzia
walau kidato cha nne kama sharti muhimu la mtu anayetaka kugombea
Ubunge kiondolewe, badala yake mgombea ama ajue tu kusoma na kuandika,
au ajue kusoma na kuandika
↧