Muigizaji mwenye mvuto wa aina yake katika tasnia ya
filamu Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ amempa somo mshindi wa
Shindano la Tanzania Move Talent ‘TMT,’ Mwanafaa Mwinzago kuwa
asibweteke na ushindi aliopata bali azingatie masomo.
Akizungumza na Mwandishi, Lulu alisema ni kweli binti huyo ana
kipaji na ilikuwa haki kushinda milioni 50 ila ajue bado ni mtoto na
anatakiwa
↧