Wakazi wa Butimba, Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza
wanahofia kulishwa nyama ya mbwa kufuatia ngozi za mnyama huyo kuokotwa
mara kwa mara zikiwa zimechunwa na kuondolewa kwato.
Hivi karibuni, ngozi nyingine ya mbwa iligundulika saa 5:00 asubuhi
eneo la kona ya kuelekea Gereza Kuu la Butimba ambapo wananchi wa eneo
hilo walikusanyika kuishuhudia.
Hata hivyo, haikuweza
↧