Rapper Azma Mponda ameamua kujitolea kupitia ngoma yake kuwafunda
wanaume wenzake namna ya kuwafikisha wapenzi wao katika kilele cha raha
wakati wa tendo maarufu zaidi duniani, ngono.
Akiongea na Mpekuzi, Azma amesema ameamua kuachia wimbo wake huo
uitwao ‘Jinsi ya Kumkifikisha Mpenzi Wako Kileleni’, baada ya kuona
amekuwa akifanya nyimbo zenye ujumbe wa kijamii kwa muda mrefu lakini
↧