M-Net na Endemol South Africa wamesema wanatafuta nyumba nyingine
yenye kamera popote pale duniani, baada ya ile iliyokuwa imeandaliwa
kwaajili ya kipindi cha Big Brother Afrika 2014 kuripotiwa kuungua
mapema wiki hii.
Msimu wa tisa wa Big Brother Afrika: Hotshots ambao umepangwa kuanza
Jumapili hii (kama swala la moto sio stunt), ulitangazwa kuahirishwa
kuzinduliwa kwa tarehe hiyo
↧