MENEJA wa Benki ya Barclays Tawi la Kinondoni, Alune Kasilika,
amedaiwa kuwa aliwasiliana na watuhumiwa wa tukio la ujambazi katika
benki hiyo wakiandaa utekelezaji wake.
Hayo yalidaiwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Wakili
wa Serikali, Janeth Kitali, mbele ya Hakimu Mkazi Nyigulile Mwaseba,
wakati akiwasomea washtakiwa maelezo ya awali.
Kitali alidai siku ya
↧