SUALA la Mahakama ya Kadhi ambalo lilizua mjadala mkali kwenye Kamati
za Bunge la Bunge Maalumu la Katiba na kuundiwa kamati ndogo
iliyoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hasan,
limezikwa rasmi.
Hali hiyo imejidhihirisha jana kutokana na kutozungumziwa katika
uwasilishaji wa maoni ya walio wengi, wakati kamati hizo zikiwasilisha
maoni yake juu ya sura ya tisa na
↧